KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Friday, May 31, 2013

Packers and Movers in chennai


http://packers-movers-chennai.agarwal-packer-mover.com/  Our Experts help our clients from packing of goods, to loading and transportation of goods, to unloading and unpacking of goods. They understand well that you hire professional services so that your belongings can be transferred to your place.Top 4 Packers and Movers in Chennai provides Packers and Movers in Chennai, Car Transportation Services in Chennai, Car Career Service in Chennai, Relocation Services in Chennai, Cargo Services in Chennai, Movers and Packers in Chennai, Office Shifting in Chennai, Household Shifting Service in Chennai, Commercial Shifting in Chennai, Packing Unpacking Service in Chennai, Moving Services in Chennai, Car Moving Services in Chennai, Packers Movers Services in Chennai.
relocation services, packers movers delhi, movers packers delhi

Packers and Movers in Hyderabad


http://packers-movers-hyderabad.agarwal-packer-mover.com/  Our Experts help our clients from packing of goods, to loading and transportation of goods, to unloading and unpacking of goods. They understand well that you hire professional services so that your belongings can be transferred to your place Top 4 Packers and Movers in Hyderabad provides Packers and Movers in Hyderabad, Car Transportation Services in Hyderabad, Car Career Service in Hyderabad, Relocation Services in Hyderabad, Cargo Services in Hyderabad, Movers and Packers in Hyderabad, Office Shifting in Hyderabad, Household Shifting Service in Hyderabad, Commercial Shifting in Hyderabad, Packing Unpacking Service in Hyderabad, Moving Services in Hyderabad, Car Moving Services in Hyderabad, Packers Movers Services in Hyderabad.
relocation services, packers movers delhi, movers packers delhi

Wednesday, May 29, 2013

P FUNK AFUNGUKA!!

"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK.

Sent from my Windows® phone.

Monday, May 27, 2013

http://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html


http://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html If you are loo king to moving from one place to another can be daunting and stressful events of life. That's why we are here we have professional who can made much easier and simpler your requirements.

Packers and Movers Delhi Segment provides Packers and Movers in Delhi, Car Transportation Services in Delhi, Car Career Service in Delhi, Relocation Services in Delhi, Cargo Services in Delhi, Movers and Packers in Delhi, Office Shifting in Delhi, Household Shifting Service in Delhi, Commercial Shifting in Delhi, Packing Unpacking Service in Delhi, Moving Services in Delhi, Car Moving Services in Delhi, Packers Movers Services in Delhi.
relocation services, packers movers delhi, movers packers delhi

http://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html


http://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html  If you are loo king to moving from one place to another can be daunting and stressful events of life. That's why we are here we have professional who can made much easier and simpler your requirements.

Packers and Movers Delhi Segment provides Packers and Movers in Delhi, Car Transportation Services in Delhi, Car Career Service in Delhi, Relocation Services in Delhi, Cargo Services in Delhi, Movers and Packers in Delhi, Office Shifting in Delhi, Household Shifting Service in Delhi, Commercial Shifting in Delhi, Packing Unpacking Service in Delhi, Moving Services in Delhi, Car Moving Services in Delhi, Packers Movers Services in Delhi.
relocation services, packers movers delhi, movers packers delhi

Friday, May 24, 2013

KLABU BINGWA ULAYA KUMEKUCHA

Zilikuwa siku na sasa ni masaa machache tu yamebaki ili kutanabai nani ni kinala wa soka Ulaya.
Dortmund au Bayern Munich?, hilo ndilo swali vichwani mwa mashabiki wa soka Duniani kwa sasa.
Jaramba linapigiwa katika uwanja wa Wembley nchini Uingereza, huku vilabu vyote vya uingereza vikiwa nje ya mashindano hayo na kubakia kuwa watazamaji tu siku ya leo.
Fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya kwanza, inahusisha timu mbili kutoka Ujerumani, wachambuzi wa soka wanadai hii ni ishara ya ufanisi wa ligi kuu ya Bundesliga ya kuwekeza katika kukuza vipaji hasa raia wa nchi hiyo.
Takriban wachezaji wote wa timu ya taifa ya Ujerumani, watakuwa uwanjani wakati wachezaji wa Klabu ya Bayern Munich watakapotoana jasho na Borussia Dortmund, katika uwanja wa Wembley, wengi wa wachezaji hao wakiwa wametoka katika vyuo viwili vinavyomilikiwa na vilabu hivyo

BURIANI CHINUA ACHEBE

Melfu ya waombolezaji walijitokeza kwa mazishi ya mwandishi mashuhuri wa nchi hiyo marehemu Chinua Achebe, katika jimbo la Anambra. Wageni mashuhuri akiwemi, rais Goodluck Jonathan pia hawakuachwa nyuma, Mamia ya watu walikusanyika kanisani baadhi wakivalia mavazi ya kitamaduni yenye picha ya Achebe. Marehemu Achebe alisifika sana kama baba mwanzilishi wa fasihi ya kiingereza barani Afrika. Mwili wa mwandishi mashuhuri wa vitabu barani Afrika Chinua Achebe uliwasili nyumbani kwake katika jimbo la Anambra nchini Nigeria siku ya jumatano.
Hata hivyo, baadhi ya mambo aliyochukizwa nayo ikiwemo vubaraka wa kisiasa na mali wanayojilimbikizia, yalishuhudiwa katika mazishi yake.
Wanasiasa walisindikizwa kanisani na maafisa wa usalama wakiwa na sialaha za kisasa. Baadhi pia waligika wakiwa wamavalia mavazi yenye rangi ya vyama vya kisiasa.
Hafla mbali mbali ziliandaliwa nchini Nigeria kumuenzi bwana Achebe kabla ya mazishi yake kufanyika. Mwandishi huyo mashuhuri alifariki mjini Boston,Marekani, akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Hayati Achebe, anasifika sana kwa kuwa mwanzilishi wa fasihi ya kiafrika kwa kiingereza. Kitabu chake alichokianda cha kwanza, mwaka 1958, 'Things Fall Apart', ambacho kilizungumzia sana athari za ukoloni barani Afrika, aliweza kuuza zaidi ya vitabu milioni kumi. Mwandishi huyo na msomi, aliendelea na uandishi wake na kuandika vitabu vingine 20 baadhi vikikosoa sana wanasiasa na kile alichokitaja kama ukosefu wa uongozi nchini Nigeria. Alikuwa anaishi nchini Marekani tangu mwaka 1990 baada ya ajali ya barabarani kumjeruhi kiasi cha kumlemaza. Makundi ya kitamaduni yalifanya tamasha mbali mbali nje ya uwanja wa ndege wa Enugu, huku ndege iliyokuwa inambeba marehemu Achebe ilipotua. Inaarifiwa kuwa licha ya kuwa watu wana majonzi tele, lakini pia wanasherehekea maisha ya mwandishi huyo. Achebe atazikwa karibu na nyumbani kwa familia yake mjini Ogidi, mji mdogo kwenye vilima vya jimbo la Anambra.



***imeombwa toka bbcswahili****

Monday, May 20, 2013

MADRID YASIBITISHA KUONDOKA KWA MOURINHO

Raisi Florentino Perez amethibitishia uma kuwa kocha wa madrid,Jose Mourinho anaachana na kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Saturday, May 18, 2013

Yanga amnyonyoa manyoya Simba!

Dakika 90 zimekwisha, Yanga 2, Simba 0. Hivyo ndivyo Simba alivyokubali kulowa mbele ya Yanga. Kiiza ndiye aliyeizamisha Simba kwa bao la pili katika dakika ya 63, na kuthibitisha kuwa Yanga ndio mabigwa wapya wa ligi kuu Tanzania bara. Ingawaje leo ilikuwa ni siku ya kutimiza ratiba kwani timu ya yanga walikisha utwaa ubigwa mapema.

Friday, May 17, 2013

NI YANGA AU SIMBA?

Ikiwa yamebakia masaa kadhaa tu ili kufika ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu zote na mashabiki wa timu za Simba na Yanga za jijini Dar es salaam, ili kujua nani mbabe kati yao. Timu ya Yanga wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kupigwa mabao 5 kwa sifuri na watani wao hao.
Je nani bingwa? Tuache dakika 90 ziseme hapo kesho majira ya saa kumi alasiri.

Thursday, May 16, 2013

Harufu ya binadamu ndio huvutia viini vya Malaria

Mbu wanaoambukiza Malaria huvutiwa zaidi na harufu ya mwili wa binadamu kuliko wadudu wengine, kwa mujibu wa utafiti. Watafiti waliochapisha matokeo ya utafiti wao katika jarida la Plos One, wanaamini kuwa Mbu wanaobeba viini vinavyosababisha Malaria, huwa na uwezo mkubwa wa kunusa. Daktari James Logan, kutoka chuo cha mafunzo ya fya mjini London, anasema kuwa moja ya mambo ambayo humshangaza ni ambavyo viini vinakuwa na akili nyingi. Anasema kuwa viini vinaonekana kuwa na akili nyingi kiasi cha kuwa mbele kwa fikira kuliko hata wanasayansi. Miguu yenye kunuka Katika kufanya utafiti wao, wanasayanyi waliwaambukiza Mmbu na viini hatari vya Plasmodium falciparum. Waliwaweka Mmbu hao katika mkebe pamoja na soksi ilyoikuwa inavunda na ambayo ilikuwa imevaliwa kwa masaa ishirini. Mmbu hao walijazana kwenye soksi hiyo Wanasayansi hao walifanya utafiti huo na Mmbu ambao walikuwa hawana viini hivyo. Waligundua kuwa Mmbu waliokuwa na viini waliweza kuvutiwa zaidi na soski zilizokuwa na uvundo. Wanasayansi wanaamini kuwa Mmbu waliokuwa na viini wanakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kunusa kwa sababu viini ndivyo vinawawezesha kunusa zaidi. Kwa Mmbu, binadamu anakuwa rahisi kushambulia kwa sababu ya harufu ya mwili wake na kisha viini hivyo ninavamia damu yake kuhakikisha kuwa vinaendelea kuzaana. Watafiti hao sasa watafanya utafiti wa miaka mitatu kutaka kujua ni vipi viini vina uwezo wa kufanya hivyo. Daktari Logan , anasema kuwa ikiwa wataweza kujua viini vinavyosababisha Malaria, itawasaidia kupambana na ugonjwa wa Malaria. Kulingana na takwimu za hivi karibuni, shirika la afya duniani linasema kuwa mnamo mwaka 2012, takriban watu milioni 219 waliugua Malaria huku wengine 660,000 wakiripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa huo. Afrika ndilo bara lenye visa vingi vya watu kuugua Malaria na asilimia tisini ya vifo vinavyotokana na Malaria hutokea barani humo.

Wednesday, May 15, 2013

CHELSEA WAIBUKA KIDEDEA

Mbele ya mashabiki 53000, Chelsea imedhihirisha kuwa mbabe wa club ya Benfica toka Ureno, kwa kuichalaza timu hiyo mabao mawili kwa moja. Magoli hayo kwa upande wa Chelsea amefunga Fernando Torres na Ivanovic, huku Cardozo akiipa Benfica bao moja la kufutia machozi.
HOGERA CHELSEA

NANI KUIBUKA KINARA LEO KATI YA CHELSEA NA BENFICA?

Katika uwanja wa Amsterdam ArenA, na mpuliza kipenga akiwa ni B.Kuipers huko Ureno leo bingwa wa ligi ya ulaya kujulikana. Chelsea itaingia uwanjani pasipo uwepo wa John Terry na Eden Hazard.

Sunday, May 12, 2013

JE WAJUA, HEWA YA UKAA YAONGEZEKA DUNIANI?

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya mwanadamu kipimo cha kiwango cha hewa ya Ukaa kuongezeka na kufikia mia nne kwa milioni moja ya sehemu za dunia. Kwa mujibu wa takwimu za maabala ya serikali ya Marekani huko Hawaii, wamesema kiwango hicho kimekuwa kutokana na sababu mbalimbali. Mara ya mwisho hewa na Ukaa kufikia kiwango cha juu ilikuwa miaka milioni tatu hadi milioni tano iliyopita ambapo ilikuwa chiniya mia nne kwa sehemu milioni moja za dunia(400ppm) Wanasayansi hao wanasema pia kiwango cha joto kimezidi maradufu kuliko miaka iliyopita. Hewa ya Ukaa inatajwa kama gesi inayotengenezwa zaidi na binadamu ambapo imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa uongezekaji wa joto duniani kwa miaka mingi. Wanaharakati wa masuala ya mazingira wamesema hatua hii ni pigo kubwa na kuonyesha wazi madhara ya mabadiliko ya tabia nchi. Lakini wanaharakati hao wanasema vifaa vya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi vimeandiliwa na kupambana na tatizo hilo.
By BBC SWAHILI

Sent from my Windows® phone.

Friday, May 10, 2013

GOOD MORNING MY FANS

You are anoited by God to live each day in the freedom He intended for you. Don't allow dread's unhealthy expectations to defeat your faith. Instead, overcome the spirit of dread with the supernatural power of God!

Sent from my Windows® phone.

Wednesday, May 8, 2013

BYE BYE FERGUSON

Ikiwa imetimia robo karne tangu aanze kuinoa timu ya Manchester United, The super Coach Sir Alex Ferguson atangaza rasmi kuacha kuifundisha timu hiyo. Ferguson mwenye umri wa miaka 71 aliingia Manchester tangu mwaka 1986 kama kocha wa timu hiyo.
Ferguson tangu aingie katika club ya Man United, ameweza kufanya mengi makubwa ikiwemo kuipatia ushindi wa ligi kuu Man United mara 20.
Wadau wa soka wanahoji, je!? Ni nani ataku Davidwa mrithi wa Ferguson? Maana hapo awali kulikuwa na tetesi za uenda kati ya Jose Morinho, Pep Guardiola, au David Mayes akachukua nafasi hiyo.
Kati yao Mayes ananafasi kubwa kuitwaa nafasi hii hadimu. Ferguson anaachana na kuifundisha Man United na kujiunga na bodi ya club hiyo,na pia kuwa mjumbe wa club.
HONGERA MKUBWA FERGUSON ASANTE SANA FERGUSON

Monday, May 6, 2013

DIMOND NA PENNY MAMBO POA!

Msanii anayetikisa kwa sasa katika muziki wa Bongo Flava "Diamond" amezidi kuonesha mapenzi moto moto kwa mpenzi wake mpya "Pennyl". Leo ikiwa ni Birthday yake Penny Diamond ametuma jumbe zenye mashiko ya kimahaba kwa mwenzi wake huyo kupitia mitandao ya facebook na Instagram, mmoja wa ujumbe huu ni huu ulio kwenye picha yao ya pamoja.
BC CREW INAWATAKIA MAHUSIANO MEMA.

Sunday, May 5, 2013

MLIPUKO ULIVYOATHIRI KANISA JIJINI ARUSHA

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo huko Arusha katika kanisa katoliki parokia ya Olasisi. Hali hii imetokea asubuhi ya leo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa.
Mkuu wa mkoa Mheshimiwa Magesa, ameliagiza jeshi la polisi mkoani humo kuwabaini waliosababisha tukio hilo na kuwafikisha katika mikono ya sheria maramoja.