KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Tuesday, January 31, 2012

Blad Key ndani ya bongo Corner!!

Yap niyeye! niyeye! niyeye!!!! mzee wa vimepanda bei au waweza kumwita Mr. Vimepanda bei! Jamaaa atajimwaga katika kurasa za Bongo Corner na kutueleza kila kitu kinacho muhusu yeye. Yaaaani kwa sasa anafanya nini na tujiandae na nini mbali na Vimepanda bei na je ni kwanini vimepanda bei na mengine mengi yatamwagika kutoka hapa yaaani ni Kideo mixer mixer maelezo na picha pale kati. Hii ni kwa wale wote wajanja wa mjini Karibuuuuu!
Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu!

Saturday, January 28, 2012

Barnaba 2012 ndani ya Gubegube


Kaa tayari kwa uzinduzi wa single ya barnaba ijulikanayo kwa jina la Gubegube! Jombaa ndiyo anadondoka kiivi ndani ya 2012. So wadau wote wa barnaba na wamuziki wa Bongo Flava Tukampe shangwe brooooo kiroho safiii!

Sauti za busara Festival

Kaa tayari kwa tamasha la muziki wa kitamaduni zaidi lijulikanalo kama Sauti za Busara. So kama wewe ni mwanamuziki wa kweli tukutane pale Zanzibari tuoneshane sanaa zetu za ukweli. Usikoseeeee tarehe usika mdau.

Thursday, January 12, 2012

Ujio wa Vitus katika Game

Yeye anasema jina la yake nyimbo hajui hatupie lipi. Huyu ni msanii ajulikanae kwa jina la Vitus, jembe hili nalidondosha kwenu wadau mtoe yenu mawazo.  Mwana yupo katika maandalizi ya kukamua kitu chake kipya ndani ya kideo, je kideo kitakuwaje pale kati? Kazi ni kwakooooooooooo kuwa karibu na yako site upate mengi yanayohusu ujio wa hili jembe.