About us

KARIBU BONGO CORNER! BLOG SITE YAKO YA UKWELI 
Bongo Corner ni blog site iliyo chini ya BC Crew chini ya uongozi wake n2cmalinda, kupitia link ifahamikayo kama bongocorner.blogspot.com. Blog hii ilianzishwa mnamo mwezi wa nane mwaka 2011 ikiwa na dhumuni kubwa la kurusha habari zinazohusiana na burudani katika nyanja zote ikiwemo habari za michezo, Fashion, muziki na mengineyo mengi yanayoihusu burudani ndani na nje ya nchi yetu hii ya Tanzania.
Site yako hii inakupa fursa wewe kama mdau kupata mahali ambapo utapata habari kwa wakati na zenye uhakika toka vyanzo vya uhakika, Pia kupitia site yako ya Bongo Corner utapata nafasi ya kutupia zako picha na ukaonekana ulimwenguni kote kupitia BC Camera. Popote uliopo  unapokula bata na wako washikaji utapata fursa ya kung’ara hapa!
Chochote toka kwako kwetu sisi ni Habari na tunakipa kipaombele kuakikisha inawafikia wadau wetu wote.

Our Contacts:
malindajoseph.peter@gmail.com
msalaba2003@yahoo.com
P.O.Box   71761, Dar-es-salaam/ Tanzania
cell : +255714 383 455