Thursday, August 2, 2012

MMAREKANI BADO ASHIKIKI OLYMPIC 2012

Wanamichezo wamarekani wamezidi kuwa gumzo katika michuano  ya Olympic 2012. Hii ni kutokana na kujizole medali nyingi kuliko nchi nyingine zilizoshiriki katika Olympic 2012. Mmarekati hadi kufikia jana alikuwa amejizole jumla ya medali 37, kati yake Gold ni 18, Silver 9, Bronze 10. Hali hii imemfanya mmarekani kuendelea kuwa kinara katika michuano hii, akifatiwa na China ambao wanajumla ya medali 34. Kati yake Gold 18, Silver 11, Bronze 5, na watatu akiwa ni nchi ya jamuhuri ya watu wa Korea.

0 comments: