Friday, August 10, 2012

MKENYA AVUNJA REKODI OLYMPIC 2012

Kwa majina anaitwa Rudisha David Lekuta amefanikiwa kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa na mwanaliadha Seb Coe katika umbali wa mita 800. Rudisha amefanikiwa kumaliza mbio hizo ndani ya 1.40.91 na kufanikiwa kurudisha medali ya dhahabu nyumbani. Mpaka sasa Kenya  wanamedali za dhahabu mbili, Silva mbili na Shaba tatu, hongera Kenya!

0 comments: