Sunday, August 19, 2012

NAWATAKIENI NYOTE SIKU KUU NJEMA YA IDD!

Hii ni kwa wale wote mafans wa Bongo Corner yaaaani Eid Mubarak! Na tusherehekee vyema sikuku yetu na tena kwa amani na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema hawalinde katika kusherehekea sikukuu!

BC Crew

0 comments: