KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Thursday, May 31, 2012

WANAFUNZI WA ADBF III TOKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA KATIKA POZI

Wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha wakiwa katika pozi. Toka kushoto ni Ester katikati ni Zenahawa na kulia ni meshack. BC Camera popote ulipo!!BC C...

Sunday, May 27, 2012

Beba beba Zanzibar

Ivi ndivo ilivokua leo hukooooo...

Ryan Giggs

Hata baada ya kucheza mechi Zaidi ya 638 akiwa na Manchester United Ryan Giggs hajawah kupata red card akiwa na Manchester United, Giggs alipata second yellow card akiwa na timu yake ya taifa Wales katika World Cup Qualifiers dhidi ya Norway FACT.......

FW: PAUL SCHOLES

Over his career Paul scholes received 90 yellow cards and 4 red cards in the premier league making him the third most booked player in the premier league history. He was also booked 32 times in the Champion League, more than any other player in the competition. This is a F...

FW: PAUL SCHOLES

Mkina Mkina, A -original message- Subject: PAUL SCHOLES From: allenmkaymam@yahoo.com Date: 27/05/2012 9:41 pm Over his career Paul scholes received 90 yellow cards and 4 red cards in the premier league making him the third most booked player in the premier league history. He was also booked 32 times in the Champion League, more than any other player in the competition. This is a F...

Friday, May 25, 2012

BC C...

MAHAFARI YA DINI YA KUWAAGA WANAFUNZI KATIKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

BC C...

Wednesday, May 23, 2012

WASHIKA DAU WAISHITAKI FACEBOOK

Washika dau wa kampuni ya mtandao wa kijami wa Facebook wameishitaki kampuni hiyo. Hii ni kutokana na thamani ya mauzo ya facebook kushuka katika soko la hisa la Newyork, na taarifa za kushuka kwa hisa kutolewa kiupendeleo kwa watu wachache.BC C...

MNYIKA ASHINDA KESI ZIDI YAKE

Mbunge wa ubungo John J. Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili dhidi ya mashitaka yote matano. Hawa Ngumbi ameamriwa na mahakama kumlipa Mjika gharama zote za kesi.BC C...

Tuesday, May 22, 2012

Drogba departing Chelsea.

Blues striker confirms Stamford Bridge exit Didier Drogba: Leaving Chelsea after eight years at Stamford Bridge Chelsea have confirmed Didier Drogba will be leaving Stamford Bridge when his contract expires next month. Drogba's future has been the subject of intense speculation in the wake of their UEFA Champions League success over Bayern Munich at the weekend. Reports in France on Monday suggested Drogba...

Monday, May 21, 2012

MAFISANGO APUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

Mwili wa aliyekuwa mchezaji wa Simba SC Patrick Mwafisango jana ulizikwa katika makaburi ya Kinkole nje ya jiji la Kinshasa.Mafisango ameacha mke na watoto watatu ambao wote walikuwapo jana katika mazishi.Mungu ailaze roho ya Mafisango mahali pema peponi. Amina.BC C...

Sunday, May 20, 2012

MARANGU WATERFALLS TOUR

Bc Camera popote ulipo ipo nawewe. Hii ilikuwa ni tour ya marangu, kufanya utarii wa ndani kujua Tanzania ikoje upande wa maliasili zetu. Karibu!BC C...

Saturday, May 19, 2012

LIONEL MESSI NDIYE MFUNGAJI BORA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA 2011-2012.

Mshambuliaji machachali wa timu ya Barcelona amenyakua tuzo ya kuwa ndiye mfungaji bora wa UEFA Champions League 2011-2012, kwa kufikisha magoli 14 katika mechi 11 alizofanikiwa kucheza. Messi kutokana na ushindi huu, ameifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na mchezaji Jose Altafini mfungaji bora wa michuano ya ulaya wa mwaka 1962-1963 akitokea timu ya AC Milan.Messi katika mechi za makundi alifanikiwa kupata mabao 2 toka kwa BATE, 3 toka kwa timu ya...

CHELSEA BINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2011-2012

Katika uwanja wa Allianz Arena watoto wa Di Matteo The Blues wafanya kweli baada ya kuipiga Bayern Munich mabao 4-3.Bayern Munich ndio waliokuwa wakwanza kuifunga Chelsea mnamo dakika ya 83 kupitia mchezaji wake Thomas Muller lakini dakika mbili kabla ya dakika 90 kumalizika, Chelsea kupitia mchezaji wake mashuhuri Didier Drogba ilisawazisha na mabao kuwa 1-1. Hii ilipelekea mechi kwenda dakika 30 za nyongeza ambazo hadi kumalizika kwa dakika hizo,...

Friday, May 18, 2012

MAFISANGO KUZIKWA CONGO

Aliyekuwa mchezaji wa Simba Patrick Mafisango, ambaye juzi alipata ajari ya gari na jana kuagwa katika viwanja vya Chang'ombe Dar-es-salam apelekwa DRC kwa mazishi. Mafisango alifariki juzi njiani akipelekwa hospitali baada ya kupata ajali hiyo ya gari.Mafisango amezaliwa tarehe 19March, 1980 huko Kinshasa Zaire na kufariki tarehe 17May, 2012 Dar-es-salaam. Mafisango aliwaichezea timu za TP MAZEMBE, APR, ATRACO, AZAM na kumalizia Simba kama midifielder.Mungu...

Thursday, May 17, 2012

MKUTANO WA CHADEMA UHASIBU ARUSHA

Siku ya kuwaaga wanachama wa Chadema wa mwaka watatu na kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu Arusha.BC C...

Saturday, May 12, 2012

SHAZI LA WATU LILIKUWA HIVI

Kwakuweka mguu hapakuwepo yaani watu walifunika mbaya pande za Moshi. Hii ilikuwa tour ya Kilimanjaro Premium Lager kuzunguka na washindi wa tuzo mbalimbali za Kili zilizoshindaniwa hivi karibuni. Mmetisha wazazi!BC C...

TAARABU NAO WATIA FUNIKO LA CHUMA NDANI YA MOSHI!

Bibie Khadija Kopa akitia nakshi nakshi kwa jukwaa ndani ya Moshi.BC C...

Ali Kiba na Omy Dimpoz kwa jukwaa.

Wawili hawa nao walifanya ajizi pande za Moshi.BC C...

SUMALEE NAYE AMETISHA MBAYA!

Mzee wa akunaga naye alithibitisha kuwa haukuna zaidi yake.BC C...

ROMA MKALI WA HIP HOP AFUNIKA MOSHI

Roma mkatoliki afunika mbaya Moshi, mathematics imewapagawisha mbaya macharii wa pande za Moshi. Hii ilikuwa katika tour ya Kilimanjaro Premium Lager ya kuwatembeza washindi wa tuzo mbalimbali karbu miji yote mikuu nchini Tanzania.BC C...

STEREO ATARAJI KUANZISHA CREW YAKE

Baada ya kudondosha ngoma mpya mtaani ifahamikayo kama "mswahili" Stereo sasa anategemea kuanzisha kundi lake. Akibonga na Bongo Corner Stereo alifunguka hivi, "Nataka kutengeneza Crew yangu kama tu nitapata watu wanaojua kuchana zaidi yangu". Lakini Stereo amesisitiza kuwa yeye ni bado yupo MLAB. Kila kheri kaka.BC C...

Monday, May 7, 2012

HAKUNA BIFU!

"Hakuna ugomvi wowote kati ya Izzo Buzness na Roma" hii ni kauli yake Izzo Buzness aliyoitoa kwa media hii leo na jamaa amesisitiza kuwa wao ni marafiki wakubwa na isitoshe wote wametoka sehemu moja yaani Mbeya. Izzo amesema ilikuwa ni ishu ya bihashara tu kukuza vyao vipato na majina mjini hapa.BC C...

TUHUMA ZA UTAPELI ZIDI YA RICH ONE

Mtu mzima Rich One aeleza kinaga ubaga tuhuma zilizopo dhidi yake juu utapeli. Msanii wa Bongo Flava Rich One hivi karibuni aliswekwa selo kwa siku moja baada ya kutuhumiwa kufanya utapeli juu ya msanii mwenzake Alli Kiba. Rich One amekana tuhuma hizo na hadi sasa kesi ipo bado chini ya uchunguzi wa polisi na Rich One yupo nje kwa dhamana. Kaa nasi kwa habari zaidi.BC C...

Saturday, May 5, 2012

BLUES CELEBRATE THEIR FOURTH FA CUP TRIUMPH IN SIX YEARS!!

A quality starved fist half was punctured only after 11 minutes when Ramires capitalised on a series of Liverpool errors to burst down the right and slot into the net.2-1 scores gave Chelsea the victory against Liverpool in FA cup championship.Drogbas historic finish soon after half-time looked to have Chelsea comfortable but Andy Carroll came off the bench for Liverpool to slam home an emphatic finish shortly past the hour.He thought he had pulled...

Thursday, May 3, 2012

"We're living in the Real Madrid era" - Karanka

The Real Madrid assistant coach Aitor Karanka believes his side winning the La Liga tittle is the start of an era for the Santiago Bernabeu side.Madrid have two games to go in this season after the great victory they got from Athletic on Wednesday. Madrid beat Athletic Bilbao 3-0 to secure the legue tittle.This made Karanka to believes they throughly deserve their success after overcoming Barcelona in a drawn out battle.BC C...

Wednesday, May 2, 2012

Afande _ "VIPARA, VITAMBI AU RASTA SIYO SABABU YA KUWA KIONGOZI"

Afande Sele a.k.a mtu poli toka Moro awaelezea watanzania juu ya uwezekano wake wa kugombania ubunge mkoani Morogoro a.k.a mji kasoro bahari. Afande amezungumza hilo sanjari na tukio lake la juzi la kupigwa na polisi na wagambo lilompelekea kusweka jela. Haina mbaya mkubwa kila la kheri katika mbio hizo za ubunge mheshimiwa!BC C...