"NITAKE NINI TENA" ni nyimbo mpya ya VITUS.Ni nyimbo nzuri inayosifia raha ya mapenzi na kupendwa.siku chache zijazo tutasherehekea siku ya wapendanao(Valentine day) so hapa waweza kudownload na kuuskia wimbo huu mzuri kisha ukaongeza maneno ya kusifia mapenzi yenu.kwani mapenzi yenye amani ndio kila kitu katika mahusiano.En...
Saturday, January 19, 2013
11:00 PM
No comments
NI MTAZAMO TU!! Zisikilize hisia zako zinataka nini,kama ni kitu chema zitendee haki hisia zako ili uwe na amani moyoni.Kwani hisia zako ni kama malaika wako anaye kuongoza.Isitoshe lawama sio mzigo kwa hali ilivyo sasa,sababu kila mtu anatafuta...
12:03 AM
No comments
How to Make Make Money With Blogging Download Free E-book Now
Hello Friends I am introducing an E-book for Making Money through Blogging.In This E-book I have mentioned the way of making money Online through Blogging. You can get unlimited traffic by this method and can make at-least 250$ per day. Below is download link you can download it free of cost. DOWNLOAD...
Thursday, January 17, 2013
10:16 AM
No comments
Packers and Movers in Delhi
Packers and Movers in DelhiPackers-Movers-Delhi-Ncr.Agarwal-Packer-Mover.Com/Movers-and-Packers-in-Delhi.html We provide you best affordable & trustworthy packing and moving companies who provide you services for shifting of different kinds of goods such as residential belongings (household goods), commercial commodities, office furniture, office important documents & paper, corporate belongings, and industrial goods. Packers-Movers-Delhi-Ncr.Agarwal-Packer-Mover.Com...
Wednesday, January 16, 2013
6:12 AM
No comments
Facebook Activated Account With 1000$
DLL Incorporation is providing Facebook Activated Account With 1000$ only in 260$ . Bulk price could be reduced more. Its a fully activated account working.Account delivery within 4 hours of payment payment mode LR or paypal or NEFT. LIMITED OFFER HURRY NOW . GET FREE GUIDANCE ON SKYPE SPEAKMEME For more details buzz us on Skype Speakmeme . OR call at +91-9136075049 Visit http://choicedelhi.in/contact-us/ ...
Tuesday, January 15, 2013
9:05 AM
No comments
Packers and Movers in Delhi
Packers and Movers in DelhiPackers-Movers-Delhi-Ncr.Agarwal-Packer-Mover.Com Our Packers Movers Delhi Ncr Segment provide you best affordable & trustwordhy packing and moving companies who provide you services for shifting of different kinds of goods such as residential belongings (household goods), commercial commodities, office furniture, office important documents & paper, corporate belongings, and industrial goods. They are providing...
Friday, January 4, 2013
2:47 PM
No comments
MHESHIMIWA RAISI PIA ALIKUWEPO KATIKA MAZISHI
.jpg)
Katika kuonesha yu pamoja na wasanii wa nyumbani Tanzania, raisi wa jamuhuli ya muungano ya Tanzania mheshimiwa Kikwete alikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria mazishi ya Sajuki. Katika makaburi ya Kisutu Raisi Kikwete alionesha uwepo wake kwa kuweka mchanga kaburini kama ishara ya kumuaga mpendwa Sajuki, "Juma Kilowoko".
Raisi Jakaya alikuwa ni msaada mkubwa katika matibabu ya marehemu Sajuki aliyokuwa akiyapokea pale katika hospitali ya taifa...
Wednesday, January 2, 2013
4:33 AM
No comments
MVUA YAFUNGA BARABARA MOROGORO
Ni mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro na kusababisha magari kupita kwa tabu. Hali hii imetokea maeneo ya Ubena jioni ya saa kumi na mbili....
4:32 AM
No comments
SAJUKI AFARIKI DUNIA
Msanii wa Bongo Movie afahamikaye kama Sajuki 'Juma Kilowoko' leo asubuhi amepatwa na umauti katika hospital ya taifa Muhimbili. "Sajuki amepatwa na umauti kutokana na tatizo la upungufu wa damu ambalo lilikuwa linamsumbua muda mrefu na Muhimbili ndiko alikokuwa anapata matibabu yake"...