KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Friday, June 22, 2012

WADAU WA BONGO CORNER KATIKA POZI

Kutoka kushoto ni Maggy, Mkina, Julie na Josephne.BC C...

WADAU WA BONGO CORNER KATIKA POZI

Julieth, Maggy na Josephne katika picha.BC C...

Tuesday, June 19, 2012

DIAMOND NDANI YA PRADO MPYAAAA!

Diamond kijana msafi atupia milioni 60 za kitanzania kutungua prado yake kiswaku toka bandarini. heko ka...

Monday, June 18, 2012

MNYIKA ATOLEWA BUNGENI LEO

Akisoma sheria na kanuni za bunge naibu spika John Ndugai alimuamuru mbunge wa Chadema John Mnyika kutoka nje ya bunge. Hii ilikuwa ni kutokana na mhe Mnyika kumwita raisi kuwa ni dhaifu na kukataa kufuta kauli yake. Naibu spika alimuamuru atoke nje mara moja mpaka kikao cha kesho saa tatu asubuhi. Hali hii ilipelekea wabunge wa upinzani kutokubaliana nalo."NAKUPENDA TANZANI...

Saturday, June 16, 2012

NEY WA MITEGO AMDISS CHID BENZ

Pata kutazama video yake hap...

Friday, June 15, 2012

BLOGGER MORNING STAR TZ KATIKA POZI

Mmiliki wa blog ya Morningstartz akiwa katika sherehe ya graduation ya ICF iliyofanyika katika chuo cha uhasibu Arusha kama mtainiwa. Hongera morningstartz master kwa kugraduate!BC C...

WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA KATIKA SHEREHE YA ICF

Kutoka kushoto ni Malisa,Ruby,Chalesna Mkina Mkina A. Wakiwa katika picha ya pamoja katika sherehe ya graduation ya ICF BC C...

WELBECK SENDS SWEDEN HOME!

The super sub Theo Walcott at 64 minutes scored a second goal for England which then lead to 2-2 goals for England against Sweden. The Liverpool striker Andy Carrol sent England into a first half lead with a powerful header at first 23 minutes. Sweden however improved dramatically after the break and after Glen Johnson failed in his attempt to keep Olof Mellberg's finish out, the Olympiakos defender headed home a second to put Erik Hamren's team...

Thursday, June 14, 2012

Spain 4-0 Ireland: Torres leads procession as Trapattoni’s men are eliminated

Republic of Ireland are heading home from Poland and Ukraine after a 4-0 defeat at the hands of Spain in a Euro 2012 Group C encounter in the PGE Arena in Gdansk on Thursday evening. Fernando Torres, omitted from the starting lineup in the first match, scored a brace and David Silva and Cesc Fabregas each bagged a goal in a match that saw total Spanish domination from start to finish. Each side had made just one change from its previous Group...

Di Matteo confirmed as Chelsea boss

Di Matteo has installed as a caretaker manager after the sacking of Andre Villas-Boas part way through last season, but became a fan favorite for the permanent job after winning the double during his short time in charge. “Roberto’s quality was clear for all to see when he galvanized the squad last season and helped the club make history, and the owner and board are very pleased he will be continuing his good work,” Chelsea’s chief executive,...

SERIKALI YALIVALIA NJUGA SWALA LA HATI MILIKI KWA WASANII TANZANIA

Akitoa hoja ya serikali kupitia bunge la nane, waziri wa fedha Dk. William Mgimwa, aeleza adhma ya serikali kutilia mkazo katika swala la hati miliki kwa wasanii Tanzania. Dk. Mgimwa asema serikali sasa imedhamiria kuona wasanii wanapata wanachostahiki kutokana na kazi zao. Kazi kwenu wanasanaa Tanzania.BC C...

Wednesday, June 13, 2012

PORTUGAL TOOK A STEP TOWARD EURO 2012 QUARTER FINALS

This was after surviving a Denmark fight back to win 3-2 in group B.Real Madrid defender Pepe was the fist one to score the first goal against Denmark at 24 min of the first half.Nine minutes before the half time break Bentos's team made it 2-0 when helder Postiga sided-footed home from close range.Dahli gave Denmark the first goal, the game end with Portugal 3- Denmark 2.BC C...

Sunday, June 10, 2012

BOB MAKANI AFARIKI DUNIA

Mwasisi wa Chadema na mwanasheria mkuu wa Tanzania Bob Makani afariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital ya Agha khani jijini Dar es salaam. Akizungumza na vombo vya habari mweshimiwa Zitto Kabwe alizungumza yafuatayo, "Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, Makani alizidiwa ghafla saa 3: 00 usiku wa kuamkia leo na kukimbizwa katika Hospitali ya Aga Khan ambako alifariki dunia saa 4.15...

Evance Msaki added you to his circles and invited you to join Google+

Evance Msaki added you to his circles and invited you to join Google+.Join Google+Google+ makes sharing on the web more like sharing in real life. CirclesAn easy way to share some things with college buddies, others with your parents, and almost nothing with your boss. Just like in real life. HangoutsConversations are better face-to-face. Join a video hangout from your computer or mobile phone to catch up, watch YouTube videos together, or swap stories...

Vitus na Dj Choka katika pozi!

Vitus na Dj Chok...

NK PRODUCTION STUDIO MPYA JIJINI DAR-ES-SALAAM

 Studio mpya jijini inayokwenda kwa jina la NK Productions! Iko pande za Mikocheni mtaa wa Migombani jirani na hospitali ya Kairuki. Studio inafanya muziki wa aina zote na hata matangazo pia kwa kutumia vifaa vya kisasa.   Unaweza wasiliana kupitia: Simu:  0714 084 980           0717 317 402 E-mail: nkproductions@hotmail.com...