Mwasisi wa Chadema na mwanasheria mkuu wa Tanzania Bob Makani afariki
 dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital ya Agha khani jijini Dar es 
salaam.
Akizungumza na vombo vya habari mweshimiwa Zitto Kabwe 
alizungumza yafuatayo, "Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Naibu 
Katibu Mkuu wa Chadema, 
Zitto Kabwe, Makani alizidiwa ghafla saa 3: 00 usiku wa kuamkia leo na 
kukimbizwa katika Hospitali ya Aga Khan ambako alifariki dunia saa 4.15 
usiku."






 





 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment