KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Sunday, August 19, 2012

NAWATAKIENI NYOTE SIKU KUU NJEMA YA IDD!

Hii ni kwa wale wote mafans wa Bongo Corner yaaaani Eid Mubarak! Na tusherehekee vyema sikuku yetu na tena kwa amani na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema hawalinde katika kusherehekea sikukuu!BC C...

Saturday, August 18, 2012

KICHUPA CHA OMMY DIMPOZI - BAADAE CHAPIGIWA SOUTH AFRIKA

Ili kukiweka kichupa vizuri zaidi msanii Ommy Dimpoz ameamua kwenda kukitengenezea pande za kwa Madiba. Hebu chungulia shughuli mzima inavyofanyika pande zile. Hekko Dimp...

MB DOG ATUMBIKIA KATIKA FILAMU SASA

...

ARSENAL,SUNDERLAND WACHOSHANA NGUVU KATIKA EPL 2012/13

Mshikemshike ndani ya uwanja wa Emirates jijini London kati ya Arsenal na Sunderland umeisha kwa timu zote mbili kuishia kuchoshana nguvu kwa kutoka na sale ya bila kwa bila. Mchezo huu mmoja wapo wa ufunguzi wa michuano ya ligi kuu Uingereza, umeshuhudiwa na mashabiki wapatao 60078 na kuchezeshwa na refalii C, Foy. Na huko katika viwanja vingine Fulham kampiga Norwich City mabao matano(5) kwa sifuri(0) mchezo uliochezwa katika uwanja wa Craven Cottage,...

ANICHEBE AND WELBECK THRILL FANS IN MANCHESTER

Joining Scudamore at the launch were Manchester United forward Danny Welbeck and Everton forward Victor Anichebe and together they held a question-and-answer with Sky Sports News Jeff Stelling. Anichebe echoed the felling of fans all over the world in revealing that he could not wait for the season to start, even if both he and Welbeck need to wait longer than others because their match takes place on Monday. "We do feel that sense of excitement...

RICHARD SCUDANORE: NEW SEASON SET FOR MORE THRILLS AND SPILLS

"Almost three months to the day that the most exciting season in the history of the Premier League was settled in dramatic fashion, the latest campaign is upon us this weekend and Premier League chief executive Richard Scudamore promises that there will be more thrills and spills." Be ready for the EPL 2012/13 campaigns this weeke...

Friday, August 17, 2012

YANGA YAWASILISHA USAJILI TFF

Young Africans imewasilisha jumla ya majina ya wachezaji 28 kwa shirikisho la soka nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini inayotazamiwa kuanza mapema septemba mosi.  Katibu mkuu wa Young Africans Mwesigwa Selestine amesema wamepeleka majina ya wachezaji wote 28 kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu, na hii ni kutokana na benchi la ufundi kuridhia kuwatumia wachezaji wote.   Aidha katika usajili huo uliowasilishwa leo, umeambatana...

UNITED REVEL SHIRT NUMBERS

There is confirmation of the numbers for new signings Robin van Persie (20), Shinji Kagawa (26) and Nick Powell (25) while Antonio Valencia has moved into the famed No7 jersey vacated by Michael Owen. Rafael takes the No2 slot, the traditional number for a right-back, Tyler Blackett has been handed the shirt previously occupied by Paul Pogba and Anders Lindegaard replaces Ji-sung Park at No13. Darren Fletcher is registered as he continues to battle...

Thursday, August 16, 2012

WENGER SAID; ARSENAL HAD NO CHOISE BUT TO SELL VAN PERSIE TO OLD TRAFFORD

Arsene Wenger claims he had no option but to accept Manchester United's bid for Robin Van Persie, with the striker in the final year of his contract.Van Persie announced his intention to leave Arsenal last month after being disillusioned with future plans for the club, and Wenger told TF1 the club had “no choice” but to cash in or run the risk of losing the striker for nothing next summer."It's sad to lose a player of his quality. He had a year left...

VAN PERSIE ATUA KATIKA KLABU YAKE MPYA YA MANCHESTER UNITED

Umekuwa ni kama mzimu unaoendelea kuitafuna timu ya Arsenal ndani ya miaka saba sasa tangu mwaka 2005. Klabu ya Arsenal mpaka sasa imeshawauza majembe yake ya kutegemewa kama, Patrick Vieira, Thierry Henry, Cesc Fabregas na sasa Van Persie.Van Persie ni mchezaji pekee toka Arsenal kuweka uelekeo wake kuwa klabu ya Manchester. Haitasahaulika kuwa Wenger na Ferguson ni mahasimu wakubwa katika jiji la London, lakini hii leo wanafanya bihashara pasipo...

Tuesday, August 14, 2012

JUST A FRIEND!!!

BC C...

Friday, August 10, 2012

MKENYA AVUNJA REKODI OLYMPIC 2012

Kwa majina anaitwa Rudisha David Lekuta amefanikiwa kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa na mwanaliadha Seb Coe katika umbali wa mita 800. Rudisha amefanikiwa kumaliza mbio hizo ndani ya 1.40.91 na kufanikiwa kurudisha medali ya dhahabu nyumbani. Mpaka sasa Kenya  wanamedali za dhahabu mbili, Silva mbili na Shaba tatu, hongera Ken...

Thursday, August 9, 2012

HAPPY BIRTHDAY MASTER JAY

Mashavu kwake Master Jay! kwani leo ni Birthday yake  mkalii...

Friday, August 3, 2012

Mashimo kumi ya ajabu duniani

hese top 10 strange holes are geographical phenomena and most astounding sites in the world. Some hole are made occasionally by nature but some  by the man in search for the mining wealth. Here we point out the top ten biggest and strangest of them. 1. Darvaza Gas Crater – Turkmenistan (The Door to Hell): In the heart of the Karakum desert of Turkmenistan the Darvaza Gas Crater or The Burning Gates give off...

Thursday, August 2, 2012

MMAREKANI BADO ASHIKIKI OLYMPIC 2012

Wanamichezo wamarekani wamezidi kuwa gumzo katika michuano  ya Olympic 2012. Hii ni kutokana na kujizole medali nyingi kuliko nchi nyingine zilizoshiriki katika Olympic 2012. Mmarekati hadi kufikia jana alikuwa amejizole jumla ya medali 37, kati yake Gold ni 18, Silver 9, Bronze 10. Hali hii imemfanya mmarekani kuendelea kuwa kinara katika michuano hii, akifatiwa na China ambao wanajumla ya medali 34. Kati yake Gold 18, Silver 11, Bronze 5,...