Tuesday, November 6, 2012
2:43 PM
  
  No comments
JAYZ AKIWAPA RAHA MASHABIKI WA OBAMA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI
Jayz akiwa jukwaani huko Columbus Ohio kumpatafu mgombea  uraisi wa marekani Barack Obama siku moja kabla  ya uchaguzi kufanyika. Jayz   ni mmoja kati ya marafiki wakubwa wa Barack Obama ambaye ameshinda katika uchaguzi na kuendelea na ungwe nyingine kuiongoza Marekani.






 





 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment