KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Friday, May 31, 2013

Packers and Movers in chennai

Packers and Movers in Chennaihttp://packers-movers-chennai.agarwal-packer-mover.com/  Our Experts help our clients from packing of goods, to loading and transportation of goods, to unloading and unpacking of goods. They understand well that you hire professional services so that your belongings can be transferred to your place.Top 4 Packers and Movers in Chennai provides Packers and Movers in Chennai, Car Transportation Services in Chennai,...

Packers and Movers in Hyderabad

Packers and Movers in Hyderabadhttp://packers-movers-hyderabad.agarwal-packer-mover.com/  Our Experts help our clients from packing of goods, to loading and transportation of goods, to unloading and unpacking of goods. They understand well that you hire professional services so that your belongings can be transferred to your place Top 4 Packers and Movers in Hyderabad provides Packers and Movers in Hyderabad, Car Transportation Services in Hyderabad,...

Wednesday, May 29, 2013

P FUNK AFUNGUKA!!

"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK. Sent from my Windows® pho...

Monday, May 27, 2013

http://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html

Packers and Movers in Delhihttp://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html If you are loo king to moving from one place to another can be daunting and stressful events of life. That's why we are here we have professional who can made much easier and simpler your requirements. Packers and Movers Delhi Segment provides Packers and Movers in Delhi, Car Transportation Services in Delhi, Car Career Service...

http://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html

Packers and Movers Delhi http://packers-movers-delhi-ncr.agarwal-packer-mover.com/movers-and-packers-in-delhi.html  If you are loo king to moving from one place to another can be daunting and stressful events of life. That's why we are here we have professional who can made much easier and simpler your requirements. Packers and Movers Delhi Segment provides Packers and Movers in Delhi, Car Transportation Services in Delhi, Car Career...

Friday, May 24, 2013

KLABU BINGWA ULAYA KUMEKUCHA

Zilikuwa siku na sasa ni masaa machache tu yamebaki ili kutanabai nani ni kinala wa soka Ulaya.Dortmund au Bayern Munich?, hilo ndilo swali vichwani mwa mashabiki wa soka Duniani kwa sasa.Jaramba linapigiwa katika uwanja wa Wembley nchini Uingereza, huku vilabu vyote vya uingereza vikiwa nje ya mashindano hayo na kubakia kuwa watazamaji tu siku ya leo.Fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya kwanza, inahusisha timu mbili kutoka Ujerumani,...

BURIANI CHINUA ACHEBE

Melfu ya waombolezaji walijitokeza kwa mazishi ya mwandishi mashuhuri wa nchi hiyo marehemu Chinua Achebe, katika jimbo la Anambra. Wageni mashuhuri akiwemi, rais Goodluck Jonathan pia hawakuachwa nyuma, Mamia ya watu walikusanyika kanisani baadhi wakivalia mavazi ya kitamaduni yenye picha ya Achebe. Marehemu Achebe alisifika sana kama baba mwanzilishi wa fasihi ya kiingereza barani Afrika. Mwili wa mwandishi mashuhuri wa vitabu barani Afrika Chinua...

Monday, May 20, 2013

...

MADRID YASIBITISHA KUONDOKA KWA MOURINHO

Raisi Florentino Perez amethibitishia uma kuwa kocha wa madrid,Jose Mourinho anaachana na kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu h...

Saturday, May 18, 2013

Yanga amnyonyoa manyoya Simba!

Dakika 90 zimekwisha, Yanga 2, Simba 0. Hivyo ndivyo Simba alivyokubali kulowa mbele ya Yanga. Kiiza ndiye aliyeizamisha Simba kwa bao la pili katika dakika ya 63, na kuthibitisha kuwa Yanga ndio mabigwa wapya wa ligi kuu Tanzania bara. Ingawaje leo ilikuwa ni siku ya kutimiza ratiba kwani timu ya yanga walikisha utwaa ubigwa mape...

Friday, May 17, 2013

NI YANGA AU SIMBA?

Ikiwa yamebakia masaa kadhaa tu ili kufika ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu zote na mashabiki wa timu za Simba na Yanga za jijini Dar es salaam, ili kujua nani mbabe kati yao. Timu ya Yanga wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kupigwa mabao 5 kwa sifuri na watani wao hao. Je nani bingwa? Tuache dakika 90 ziseme hapo kesho majira ya saa kumi alasi...

Thursday, May 16, 2013

Harufu ya binadamu ndio huvutia viini vya Malaria

Mbu wanaoambukiza Malaria huvutiwa zaidi na harufu ya mwili wa binadamu kuliko wadudu wengine, kwa mujibu wa utafiti. Watafiti waliochapisha matokeo ya utafiti wao katika jarida la Plos One, wanaamini kuwa Mbu wanaobeba viini vinavyosababisha Malaria, huwa na uwezo mkubwa wa kunusa. Daktari James Logan, kutoka chuo cha mafunzo ya fya mjini London, anasema kuwa moja ya mambo ambayo humshangaza ni ambavyo viini vinakuwa na akili nyingi. Anasema kuwa...

Wednesday, May 15, 2013

CHELSEA WAIBUKA KIDEDEA

Mbele ya mashabiki 53000, Chelsea imedhihirisha kuwa mbabe wa club ya Benfica toka Ureno, kwa kuichalaza timu hiyo mabao mawili kwa moja. Magoli hayo kwa upande wa Chelsea amefunga Fernando Torres na Ivanovic, huku Cardozo akiipa Benfica bao moja la kufutia machozi.HOGERA CHEL...

NANI KUIBUKA KINARA LEO KATI YA CHELSEA NA BENFICA?

Katika uwanja wa Amsterdam ArenA, na mpuliza kipenga akiwa ni B.Kuipers huko Ureno leo bingwa wa ligi ya ulaya kujulikana. Chelsea itaingia uwanjani pasipo uwepo wa John Terry na Eden Hazar...

Sunday, May 12, 2013

JE WAJUA, HEWA YA UKAA YAONGEZEKA DUNIANI?

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya mwanadamu kipimo cha kiwango cha hewa ya Ukaa kuongezeka na kufikia mia nne kwa milioni moja ya sehemu za dunia. Kwa mujibu wa takwimu za maabala ya serikali ya Marekani huko Hawaii, wamesema kiwango hicho kimekuwa kutokana na sababu mbalimbali. Mara ya mwisho hewa na Ukaa kufikia kiwango cha juu ilikuwa miaka milioni tatu hadi milioni tano iliyopita ambapo ilikuwa chiniya mia nne kwa sehemu milioni moja za...

Friday, May 10, 2013

GOOD MORNING MY FANS

You are anoited by God to live each day in the freedom He intended for you. Don't allow dread's unhealthy expectations to defeat your faith. Instead, overcome the spirit of dread with the supernatural power of God! Sent from my Windows® pho...

Wednesday, May 8, 2013

BYE BYE FERGUSON

Ikiwa imetimia robo karne tangu aanze kuinoa timu ya Manchester United, The super Coach Sir Alex Ferguson atangaza rasmi kuacha kuifundisha timu hiyo. Ferguson mwenye umri wa miaka 71 aliingia Manchester tangu mwaka 1986 kama kocha wa timu hiyo.Ferguson tangu aingie katika club ya Man United, ameweza kufanya mengi makubwa ikiwemo kuipatia ushindi wa ligi kuu Man United mara 20.Wadau wa soka wanahoji, je!? Ni nani ataku Davidwa mrithi wa Ferguson?...

Monday, May 6, 2013

DIMOND NA PENNY MAMBO POA!

Msanii anayetikisa kwa sasa katika muziki wa Bongo Flava "Diamond" amezidi kuonesha mapenzi moto moto kwa mpenzi wake mpya "Pennyl". Leo ikiwa ni Birthday yake Penny Diamond ametuma jumbe zenye mashiko ya kimahaba kwa mwenzi wake huyo kupitia mitandao ya facebook na Instagram, mmoja wa ujumbe huu ni huu ulio kwenye picha yao ya pamoja.BC CREW INAWATAKIA MAHUSIANO ME...

Sunday, May 5, 2013

MLIPUKO ULIVYOATHIRI KANISA JIJINI ARUSHA

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo huko Arusha katika kanisa katoliki parokia ya Olasisi. Hali hii imetokea asubuhi ya leo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa.Mkuu wa mkoa Mheshimiwa Magesa, ameliagiza jeshi la polisi mkoani humo kuwabaini waliosababisha tukio hilo na kuwafikisha katika mikono ya sheria maramoja....