Wanakamati wote ambao walifanikisha mazishi ya ndugu yetu marehemu Albert Mangweha aka CowBama mnataarifiwa kufika kwenye kikao kitakachofanyika siku ya Jumamosi tarehe 9.11.13 saa 9 alasiri pale Leaders Club Dar es Salaam. Mnaombwa wanakamati wote mfike siku hiyo kuna jambo muhimu lakuongelea, ukipata ujumbe huu mtaarifu mwanakamati mwenzako






 




 
  
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment