KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Sunday, December 15, 2013

BURIHANI MADIBA

Mandela amezikwa kuambatana na tamaduni za Xhosa.Ng’ombe dume amechinjwa, na jeneza la hayati Mandela kufungwa kwa ngozi ya Chui huku mzee mmoja wa familia akiongea na mizimu ya mfu hadi Madiba alipozikwa.Mazishi ya Mandela pia yamejumuisha tamaduni za watu wa jamii ya Xhosa ambako ukoo wa Mandela wa Thembu unatoka. Bila shaka mazishi ya Mandela katika kijiji cha Qunu yamekuwa mchanganyiko wa mila na tamaduni , dini ya kikristo na pia watakaofika...

Saturday, December 7, 2013

MANDELA KUZIKWA DISEMBA 15

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa Hayati Nelson Mandela atazikwa tarehe kumi na tano Jumapili mwezi Disemba katika kijiji cha Qunu mkoa wa Eastern Cape. name BBC Swahili ...

Friday, December 6, 2013

NELSON MANDELA AAGA DUNIA

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia. Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi wa rangi baada ya kufungwa jela kwa miaka 27. Taarifa zinazohusiana Afrika Kusini Mandela alikuwa anatibiwa homa ya mapafu nyumbani kwake baada ya kulazwa hospitalini kwa miezi mitatu. Katika taarifa yake kwa watu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, alisema...