Katika mji wa Timmonsville, mji mdogo wenye watu 2000, nchini Marekani imepitishwa sheria kali ya kuuzia uvaaji wa suruali kimtepesho (mlegezo ). Sheria hiyo imeenda mbali zaidi kiasi cha kumpiga fine mtu atakayevaa mtepesho kuanzia $100 hadi 600.
Kama mtanzania kijana unamawazo gani juu ya hili njoo na maoni yako.
Thursday, July 7, 2016
8:43 AM
No comments
0 comments:
Post a Comment