KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Sunday, August 21, 2011

Tafakari ya leo

Kama tungekuwa makini tena makini kweli, tusingefika hapa tulipo fika leo kama taifa. Uwezi amini hii Tanzania yenye madini, mito, nchi iliyozungukwa na maziwa makuu, wanyama na ardhi nzuri leo hii ipo kizani. Je mchawi nani? Na nani alaumiwe katika hili mbona wengine mnanufaika na matumbo yenu yananeemeka? Ukisema unaambiwa hauna uzalendo je ni uzalendo gani unaotakiwa hapa. Mmemkana hata mwasisi wa taifa h...

Tuesday, August 9, 2011

7 Common Investor Mistakes

Of the mistakes made by investors, seven of them are repeat offenses. In fact, investors have been making these same mistakes since the dawn of modern markets, and will likely be repeating them for years to come. You can significantly boost your chances of investment success by becoming aware of these typical errors and taking steps to avoid them. 1. No PlanAs the old saying goes, if you don't know where you're going, any road will take you there. Solution? Have a personal investment plan or policy that addresses the following: Goals...

Wednesday, August 3, 2011

Tueshimu mfungo Mtukufu wa Ramadhani

Ni kweli kwamba kama vijana tuna mengi mavazi, ambayo tungependa sana kuyavaa mara kwa mara ili tuonekane nadhifu. Lakini tukumbuke kuwa kuna leo na kesho, leo upo na kesho haupo. Sote twafahamu kuwa mwezi huu wenzetu waislamu wapo katika mfungo mtukufu, sasa yanini wewe mwenzetu hususani mtoto wa kike kwenda kutuvalia nusu uchi!? Kuwakwaza wenzako maana yake nini? Tubadilike bwana heshimu hueshimiwe pia. Siku njema na mfungo mwema pia kwa wote wafung...

KARIBU SANAAAA!

Niaje niaje wakwangu? Natumai mpo poa na mpo tayali kufungua ukurasa mpya juu ya namna gani tuishi nao wale wanaotukela. Basi kama ni hivyo, upo kwenye ukurasa unaostahili. Muhimu ni kuchukua form yako ndani ya huu ukurasa na kujiandikisha ili tutembee wote. Kuwa mjanja mjulishe na mwingine kuhusu uwepo wa huu ukurasaaa...