Wednesday, August 3, 2011

KARIBU SANAAAA!

Niaje niaje wakwangu? Natumai mpo poa na mpo tayali kufungua ukurasa mpya juu ya namna gani tuishi nao wale wanaotukela. Basi kama ni hivyo, upo kwenye ukurasa unaostahili. Muhimu ni kuchukua form yako ndani ya huu ukurasa na kujiandikisha ili tutembee wote. Kuwa mjanja mjulishe na mwingine kuhusu uwepo wa huu ukurasaaaaa.

0 comments: