Wednesday, August 3, 2011

Tueshimu mfungo Mtukufu wa Ramadhani

Ni kweli kwamba kama vijana tuna mengi mavazi, ambayo tungependa sana kuyavaa mara kwa mara ili tuonekane nadhifu. Lakini tukumbuke kuwa kuna leo na kesho, leo upo na kesho haupo. Sote twafahamu kuwa mwezi huu wenzetu waislamu wapo katika mfungo mtukufu, sasa yanini wewe mwenzetu hususani mtoto wa kike kwenda kutuvalia nusu uchi!? Kuwakwaza wenzako maana yake nini? Tubadilike bwana heshimu hueshimiwe pia. Siku njema na mfungo mwema pia kwa wote wafungao.

3 comments:

This comment has been removed by the author.

yapazi wengi twajaribu kufunga japo ni kutimiza sheria za mfungo kaka

mfungo umekwisha sasa ila waungwana matendo mema yaendelee