KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Tuesday, September 20, 2011

Ujio Mpya Mdau!

Kaa mkao wa kula mda huu kwani n2c group inakujia na mengi mda huu. Kupitia site hii maojiano na wasanii wakubwa na wanaochipukia katika fani ya muziki wa Bongo Flavour na hip hop Tanzania yatakuwa yanapatikana hapahapa Bongo corner.
Kuwa wakwanza kujua wasanii hawa wanafanya nini na wapo wapi kwa sasa.

Monday, September 19, 2011

Wednesday, September 7, 2011

Wazo la leo!

Ukipewa dhamana ya uongozi, siyo kwamba waliokuchagua hawawezi kuongoza bali wameamua kukuteua wewe tu. Sasa nawashangaa sana hawa viongozi wetu, hii leo Tanzania inasherehekea nusu karne ya uhuru lakini tupo gizani, alafu kiongozi mwenye mamlaka husika bado tunamchekea na hakuna hatua yoyote juu yake. Baba kama umeshindwa kuifanya Tanzania iwe na umeme waachie wengine!

Sunday, September 4, 2011

Hama kwa hakika thamani ya amani utaijua pindi itowekapo. Tumshukuru Mungu Tanzania yetu ina amani, lakini bado naoji kwani amani maana yake ni nini? Nini ni viashiria vya amani hususani hapa nchini kwetu Tanzania?

Thursday, September 1, 2011

Maisha popote ndugu

Ni A Twn moja ndugu kimaisha zaidi kama vipi tusonge pamoja mdau. Muhimu ni uwepo wako pande hizi