Wednesday, September 7, 2011

Wazo la leo!

Ukipewa dhamana ya uongozi, siyo kwamba waliokuchagua hawawezi kuongoza bali wameamua kukuteua wewe tu. Sasa nawashangaa sana hawa viongozi wetu, hii leo Tanzania inasherehekea nusu karne ya uhuru lakini tupo gizani, alafu kiongozi mwenye mamlaka husika bado tunamchekea na hakuna hatua yoyote juu yake. Baba kama umeshindwa kuifanya Tanzania iwe na umeme waachie wengine!

0 comments: