Sunday, September 4, 2011
9:22 PM
1 comment
Hama kwa hakika thamani ya amani utaijua pindi itowekapo. Tumshukuru Mungu Tanzania yetu ina amani, lakini bado naoji kwani amani maana yake ni nini? Nini ni viashiria vya amani hususani hapa nchini kwetu Tanzania?
1 comments:
Kama vip 2pgane, hakuna umuhmu wa aman kama ha2na hela ya kulaKama vip 2pgane, hakuna umuhmu wa aman kama ha2na hela ya kula
Post a Comment