Sunday, November 20, 2011
6:50 AM
No comments
Stereo msanii wa hiphop Tanzania anayekuja kwa kasi katika sanaa hii ya muziki. Pata kujua mwana anafanya nini kwa sasa na je anazungumziaje game ya mziki kwa ujumla. Haya yote utayapata hapahapa Bongo Corner kupitia Page yetu ya Interview. Kaa mkao wa kula mdau pamoja sana mpaka mwaka sifuriiiiiiiiiiiiii. By n2c group
0 comments:
Post a Comment