Karibu Bongo Corner! ni site ambayo inajihusisha na burudani zaidi yaani kila kinachohusu burudani utaweza kukipata kutokea hapa, habari za matukio ya kila siku na nyingi stori kuhusiana na muziki utapata pia.
Producer AK Bunduki akiwa katika pozi pande za White Sand Resort na Msanii anaye kuja kwa kasi katika Game hii ya muziki ya Bongo flava. Pata kujua mengi kuhusu ujio wa msanii huyu katika game hii na mengine mengi kupitia site yako hii ya Bongo Corner.
0 comments:
Post a Comment