Thursday, March 22, 2012
2:17 AM
No comments
Kaa tayari kwa Video ya Jipange toka kwa Blad Key!
Blad Key asema"Baada ya nyimbo yangu ya VINAPANDA BEI kupokelewa vizuri na kufanya poa. Sasa nipo katika maandalizi ya kushuti nyimbo yangu mpya iitwayo "JIPANGE" so nahitaji kina dada 7 wazuri na warembo kwa ajili ya kuipamba video hiyo. Kama unajiamini ni mzuri na una mvuto wa video just inbox me au waweza pia kuwasiliana na PERES PAUL. Nahitaji kufanya kitu kizuri zaidi hata nyimbo yangu ya vinapanda bei. thankx in advance."
0 comments:
Post a Comment