Thursday, March 22, 2012

Umeipata Hii wewe Mwana Chadema

Chukua hii taharifa wewe mwanachadema na mpenzi wa Chadema, kutakuwa na kikao tarehe 25/3/2012 pale Matongee Carnival Arusha, saa 7:30 mchana kumbuka upatapo taarifa hii mfahamishe na mwenzako pia.

0 comments: