Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wametembelea eneo linalofanyakazi za ufyatuaji wa Matofali yatakayotumika katika ujenzi wa Ikulu Chamwino huko mkoani Dodoma.
0 comments:
Post a Comment