
Mandela amezikwa kuambatana na tamaduni za Xhosa.Ng’ombe dume amechinjwa, na jeneza la hayati
Mandela kufungwa kwa ngozi ya Chui huku mzee
mmoja wa familia akiongea na mizimu ya mfu
hadi Madiba alipozikwa.Mazishi ya Mandela pia yamejumuisha tamaduni za watu wa jamii ya Xhosa ambako ukoo wa
Mandela wa Thembu unatoka.
Bila shaka mazishi ya Mandela katika kijiji cha Qunu yamekuwa mchanganyiko wa mila na
tamaduni , dini ya kikristo na pia watakaofika...