KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Friday, December 30, 2011

Man City Chali

Darron Gibson second half strike for Everton gave the home side a deserved 1-0 win over league leader Manchester City which drops points in poor performance leaving it tied with Manchester United at the top of the EPL.It was a fairly quiet first half at Goodison Park with just a few chances between the teams.The first and probably best chance of the half fell to Everton just five minutes in as Denis Stracqualursi's head found...

Thursday, December 22, 2011

Chicharito and Berbatov both score penalties as hosts close in on City at top of Premier League

United boss Sir Alex Ferguson had something of a goalkeeping crisis before kick off with both David De Gea and Anders Lindegaard ruled out. Ben Amos was called in to make his Premier League debut for the club. There were five other changes to the side that beat Arsenal in its last league match with Park, Rio Ferdinand, Paul Scholes, Dimitar Berbatov and Javier Hernandez all named in the starting lineup. Tony Pulis also made a handful of changes...

Wednesday, November 30, 2011

Vitus na ndoto za kung'ara katika muziki wa Afrika

Producer AK na Vitus katika pozi Producer AK Bunduki akiwa katika pozi pande za White Sand Resort na Msanii anaye kuja kwa kasi katika Game hii ya muziki ya Bongo flava. Pata kujua mengi kuhusu ujio wa msanii huyu katika game hii na mengine mengi kupitia site yako hii ya Bongo Corn...

Sunday, November 20, 2011

Stereo msanii wa hiphop Tanzania anayekuja kwa kasi katika sanaa hii ya muziki. Pata kujua mwana anafanya nini kwa sasa na je anazungumziaje game ya mziki kwa ujumla. Haya yote utayapata hapahapa Bongo Corner kupitia Page yetu ya Interview. Kaa mkao wa kula mdau pamoja sana mpaka mwaka sifuriiiiiiiiiiiiii. By n2c gr...

Tuesday, September 20, 2011

Ujio Mpya Mdau!

Kaa mkao wa kula mda huu kwani n2c group inakujia na mengi mda huu. Kupitia site hii maojiano na wasanii wakubwa na wanaochipukia katika fani ya muziki wa Bongo Flavour na hip hop Tanzania yatakuwa yanapatikana hapahapa Bongo corner. Kuwa wakwanza kujua wasanii hawa wanafanya nini na wapo wapi kwa sa...

Monday, September 19, 2011

...

Wednesday, September 7, 2011

Wazo la leo!

Ukipewa dhamana ya uongozi, siyo kwamba waliokuchagua hawawezi kuongoza bali wameamua kukuteua wewe tu. Sasa nawashangaa sana hawa viongozi wetu, hii leo Tanzania inasherehekea nusu karne ya uhuru lakini tupo gizani, alafu kiongozi mwenye mamlaka husika bado tunamchekea na hakuna hatua yoyote juu yake. Baba kama umeshindwa kuifanya Tanzania iwe na umeme waachie wengi...

Sunday, September 4, 2011

Hama kwa hakika thamani ya amani utaijua pindi itowekapo. Tumshukuru Mungu Tanzania yetu ina amani, lakini bado naoji kwani amani maana yake ni nini? Nini ni viashiria vya amani hususani hapa nchini kwetu Tanzan...

Thursday, September 1, 2011

Drake Wishes Justin Bieber Kept 'Trust Issues' Unedited

Drake Wishes Justin Bieber Kept 'Trust Issues' Unedi...

Adele, Lil Wayne, Beyonce Get VMA Bump On iTunes

Adele, Lil Wayne, Beyonce Get VMA Bump On iTu...

Maisha popote ndugu

Ni A Twn moja ndugu kimaisha zaidi kama vipi tusonge pamoja mdau. Muhimu ni uwepo wako pande h...

Sunday, August 21, 2011

Tafakari ya leo

Kama tungekuwa makini tena makini kweli, tusingefika hapa tulipo fika leo kama taifa. Uwezi amini hii Tanzania yenye madini, mito, nchi iliyozungukwa na maziwa makuu, wanyama na ardhi nzuri leo hii ipo kizani. Je mchawi nani? Na nani alaumiwe katika hili mbona wengine mnanufaika na matumbo yenu yananeemeka? Ukisema unaambiwa hauna uzalendo je ni uzalendo gani unaotakiwa hapa. Mmemkana hata mwasisi wa taifa h...

Tuesday, August 9, 2011

7 Common Investor Mistakes

Of the mistakes made by investors, seven of them are repeat offenses. In fact, investors have been making these same mistakes since the dawn of modern markets, and will likely be repeating them for years to come. You can significantly boost your chances of investment success by becoming aware of these typical errors and taking steps to avoid them. 1. No PlanAs the old saying goes, if you don't know where you're going, any road will take you there. Solution? Have a personal investment plan or policy that addresses the following: Goals...

Wednesday, August 3, 2011

Tueshimu mfungo Mtukufu wa Ramadhani

Ni kweli kwamba kama vijana tuna mengi mavazi, ambayo tungependa sana kuyavaa mara kwa mara ili tuonekane nadhifu. Lakini tukumbuke kuwa kuna leo na kesho, leo upo na kesho haupo. Sote twafahamu kuwa mwezi huu wenzetu waislamu wapo katika mfungo mtukufu, sasa yanini wewe mwenzetu hususani mtoto wa kike kwenda kutuvalia nusu uchi!? Kuwakwaza wenzako maana yake nini? Tubadilike bwana heshimu hueshimiwe pia. Siku njema na mfungo mwema pia kwa wote wafung...

KARIBU SANAAAA!

Niaje niaje wakwangu? Natumai mpo poa na mpo tayali kufungua ukurasa mpya juu ya namna gani tuishi nao wale wanaotukela. Basi kama ni hivyo, upo kwenye ukurasa unaostahili. Muhimu ni kuchukua form yako ndani ya huu ukurasa na kujiandikisha ili tutembee wote. Kuwa mjanja mjulishe na mwingine kuhusu uwepo wa huu ukurasaaa...