Mwana muziki Bobby Brown na aliyekuwa mume wa Whitney Houston ajikuta akipagawa ghafla jukwaani kutokana na kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa mke wake (Whitney) kilichotokea jumamosi hii.Habari hizi zilimfikia Bobby pindi alipokuwa katika tamasha moja na New Edition huko Landers Center Mississippi.
Bobby alijikuta akikili mbele ya uma mapenzi ya dhati aliokuwa nao juu ya mpenzi wake huyo na kukaliliwa akitamka maneno yaha,"Hawali ya yote napenda kuwaambia kwamba nawapenda sana nyote" Anasema Bobby, "Pili napenda kusema, nakupenda sana Whitney na inaniwia vigumu sana mimi kuwepo hii leo katika jukwaa hili nanyi" mwisho wa kunukuu.
took the stage with New Edition at Landers Center
0 comments:
Post a Comment