Timu ya taifa ya Zambia imeng'ara katika michuano ya mabingwa Afrika baada ya kuishinda Ivory Coast kwa mikwaju ya penati.
Timu ya Zambia imeiwekea tiafa hilo heshima katika kuwaenzi wachezaji ya zamani wa timu hiyo waliofariki kwa ajali ya ndege mnamo waka 1993.
Kung'ara kwa timu hiyo
0 comments:
Post a Comment