Wednesday, February 8, 2012
11:17 PM
No comments
Mr. Vinapanda bei sasa anasema JIPANGE!
Kaa tayari kwa ujio mpya wa Blad Key (Mr. Vinapanda bei) katika nyimbo yake mpya ijulikanayo kama "Jipange!". Jembe linasisitiza kitu muhimu sote tujipange sasa na siyo tulie au kulalamika kutokana na vitu kupanda bei.
0 comments:
Post a Comment