Wednesday, February 8, 2012
11:52 PM
No comments
Sasa ni Sungura Sokoni!
Mtambue kwa majina kama Said Salum Sungura a.k.a Sungura hili ni jembe la kale lenye mpini mpya sokoni. Mr Sungura ndani ya 2012 ameamua kuufuta wake ukimya kwa kudondosha Song lake Lifahamikalo kama "Nipangishe" Mr Sungura anaomba zennu hifadhi katika Game hii ya Bongo Flava. Jembe ameongea na BC Crew na kujimwaga mazima kuhusu ujio wake. So kaa tayari kumpokea Sungura!
0 comments:
Post a Comment