Thursday, February 9, 2012

Mwanamke wa Wiki

Kutana na Joyce Kiwia katika kurasa yetu ya mwanamke wa wiki ndani ya My Profile. Jua Joyce Kiwia ni nani na kwanini ni Joyce na mengine mengi hapahapa katika site yako ya Bongo corner. Kupitia kurasa hii utaweza kuyafahamu mengi  yanayomuhusu Miss Joyce ambayo yawezekana hauyafahamu au unayafahamu kwa kuyasikia tu.

0 comments: