Wednesday, November 30, 2011

Vitus na ndoto za kung'ara katika muziki wa Afrika

Producer AK na Vitus katika pozi
Producer AK Bunduki akiwa katika pozi pande za White Sand Resort na Msanii anaye kuja kwa kasi katika Game hii ya muziki ya Bongo flava. Pata kujua mengi kuhusu ujio wa msanii huyu katika game hii na mengine mengi kupitia site yako hii ya Bongo Corner.

0 comments: