Wednesday, April 17, 2013

BIBI KIDUDE AFARIKI DUNIA

Msanii nguli wa Muziki wa Taarabu Tanzania, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bibi Kidude amefariki dunia leo. Msanii huyu ambaye alikuwa anapatiwa matibabu katika Hospital ya Hindu Mandal huko Zanzabar. Bibi Kidude atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika sanaa ya Muziki Tanzania na hata kuitangaza Tanzania nchi za nje henzi za uhai wake. R.I.P Bibi kidude!!!

0 comments: