Friday, November 9, 2012

JE NANI ATANYAKUA KITITA CHA MILLION 50 LEO?

Kati ya hawa vijana watano mmoja kati yao leo usiku ataondoka na kitita cha millioni hamsini(50). Je umafahamu ni naniiiiiii? tukutane pale kati Diamond Jubilee mida flani hiviiii. Yaaani ni Nyota Mpyaaa wa Bongo Flavaaaa!

0 comments: