JUMAPILI HII 26/02/2012 NDANI YA CLUB BILICANAZ, MANSU-LI & AVELI GHETTO MASSAYA, NA P THE MC WATAFANYA MAMBO SAMBAMBA NA WATEULE - JAYMOE,MOXIE NA JAHFFARAI NA WENGINE KIBAO. KARIBU SANA KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 6000/-
KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP
Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More
Saturday, February 25, 2012
Wednesday, February 22, 2012
6:20 AM
No comments
Sugu na Ruge sasa Amani
Meza kuu ya upatanisho ilikaliwa na Mhe. Emanuel Nchimbi wazili wa vijana, habari,michezo na utamaduni, Joseph Mbilinyi (sugu) mbunge wa Mbeya mjini, Ruge Mutahaba (Mkurugenzi wa Clouds Media Group) na mbunge wa Singida mashariki Mhe. Tundu Lisu.
Hii ilikuwa katika kutafuta suluhisho la mafarakano yaliokuwepo kati ya Mr. Sugu na Mr. Ruge yaliyofanyika mbele ya waandishi wa habari kwa lengo moja tu la kutafuta huo upatanishi. Sasa Sugu na Ruge wanafungua ukurasa mpya na kufuta yale yaliyopita. Waswahili husema "Yaliyopita si ndwele tugange yajayo" na sasa tunategemea kuona kauli mpya tofauti na zile zilizopita. Amani kwenu wadau.

6:02 AM
No comments
Mwanamke wa Wiki
Flaviana Matata mwanamitindo wa kike anayetikisa nje ya bongo na kuifanya Tanzania kung'ara katika tasnia ya mitindo kimataifa. Leo mrembo huyu mwanamitindo ndiye anayetung'arishia ukurasa wetu kwa kuwa ni mwanamke wa wiki ndani ya Bongo Corner. Hii ndiyo aina ya wanawake wanaoitajika katika dunia ya leo yaani kwa maana kwamba, mwanamke anapaswa kujishughulisha na siyo kungojea kuwa mdakaji. Flaviana ni moja kati ya hawa wanawake ninao wazungumzia. Mwanadada huyu kwa sasa anamiliki au anatarajia kumiliki taasisi yake inayofahamika kama Flaviana Matata Foundation. Pongezi za dhati kabisa zinadondoka kwako mwanadada Flaviana toka katika uongozi mzima wa Bongo Corner Entertainment na Mungu akuzidishie katika kazi zako!
Monday, February 13, 2012
5:01 PM
No comments
Zambia wang'ara
Timu ya taifa ya Zambia imeng'ara katika michuano ya mabingwa Afrika baada ya kuishinda Ivory Coast kwa mikwaju ya penati.
Timu ya Zambia imeiwekea tiafa hilo heshima katika kuwaenzi wachezaji ya zamani wa timu hiyo waliofariki kwa ajali ya ndege mnamo waka 1993.
Kung'ara kwa timu hiyo
Timu ya Zambia imeiwekea tiafa hilo heshima katika kuwaenzi wachezaji ya zamani wa timu hiyo waliofariki kwa ajali ya ndege mnamo waka 1993.
Kung'ara kwa timu hiyo
Sunday, February 12, 2012
8:22 AM
No comments
Bobby Brown astushwa na kifo cha Whitney
Mwana muziki Bobby Brown na aliyekuwa mume wa Whitney Houston ajikuta akipagawa ghafla jukwaani kutokana na kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa mke wake (Whitney) kilichotokea jumamosi hii.Habari hizi zilimfikia Bobby pindi alipokuwa katika tamasha moja na New Edition huko Landers Center Mississippi.
Bobby alijikuta akikili mbele ya uma mapenzi ya dhati aliokuwa nao juu ya mpenzi wake huyo na kukaliliwa akitamka maneno yaha,"Hawali ya yote napenda kuwaambia kwamba nawapenda sana nyote" Anasema Bobby, "Pili napenda kusema, nakupenda sana Whitney na inaniwia vigumu sana mimi kuwepo hii leo katika jukwaa hili nanyi" mwisho wa kunukuu.
took the stage with New Edition at Landers Center

Saturday, February 11, 2012
11:51 PM
No comments
Whitney Afariki dunia!
![]() |
| Whitney Huston enzi za uhai wake |
Huston amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1964.
Whitney atakumbukwa kwa kazi nyingi alizozifanya enzi za uhai wake, hususani albamu zake mbili za ukweli kama "I'm your Baby Tonight," ya miaka ya 90 na "The Bodyguard" kazi iliyotufanyika miaka ya 92.Salamu za pole ziende kwa wapenzi wote wa mwana mziki huyo hususani kwa yake familia na hasa mwanae wa kike afahamikaye kama Bobbi Kristina. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina!
2:58 PM
No comments
Rooney aipaisha Man United!
Mabao mawali yaliyofungwa na Wyne Rooney yameipa Manchester United ushindi zidi ya maasimu wao Liverpool katika uwanja wa Old Trafford. Ushindi huo umeifanya timu ya Manchester United kukaa kileleni kwa sasa huku mechi ya maasimu wao wakuu Manchester City ikiwa inasubiriwa kuthibitisha uwepo wao kileleni.
hekaheka kati ya Evra(Manchester United) na Suarez (Liverpool) halikukosekana, ni kutokana na Suarez kukataa kumpa mkono wa kheri Evra kabla ya mech kuanza na Evra kuutupilia mbali mkono wa Suarez alipokuwa akimsalimia goli kipa wa Manchester United (De Gea).
Mpira ulianza kwa kasi kubwa sana huku Manchester United wakioneka na kuumilika mpira kwa hali ya juu lakini mpaka timu zinakwenda mapumziko mabao yalikuwa ni bila kwa bila. Upepo ulikuja kubadilika katika kipindi cha pili dakika ya 47 ambapo Rooney aliipa timu yake bao la kwanza. Mnamo dakika ya 50 Wyne Rooney hakufanya hajizi kwa kuipa tena timu yake bao la pili, lakini ilipofika dakika ya pili Luic Suarez aliipatia Liverpool bao la kwanza ukiwa ni mpira uliochezwa vibaya na beki tegemezi ya Manchester United Ferdinand na Suarez kuusukumia mpira huo wavuni.
Ushindi huo unaipa Manchester Unnited pointi 58 zidi ya 57 ya Manchester City, ikifuatiwa na Tottenham yenye pointi 53 zidi ya Arsenal yenye pointi 43 ikilingana na Chelsea kwa poinnti na wengine wakifuatia.

Thursday, February 9, 2012
11:57 AM
No comments
Mwanamke wa Wiki
Kutana na Joyce Kiwia katika kurasa yetu ya mwanamke wa wiki ndani ya My Profile. Jua Joyce Kiwia ni nani na kwanini ni Joyce na mengine mengi hapahapa katika site yako ya Bongo corner. Kupitia kurasa hii utaweza kuyafahamu mengi yanayomuhusu Miss Joyce ambayo yawezekana hauyafahamu au unayafahamu kwa kuyasikia tu.
Wednesday, February 8, 2012
11:52 PM
No comments
Sasa ni Sungura Sokoni!
Mtambue kwa majina kama Said Salum Sungura a.k.a Sungura hili ni jembe la kale lenye mpini mpya sokoni. Mr Sungura ndani ya 2012 ameamua kuufuta wake ukimya kwa kudondosha Song lake Lifahamikalo kama "Nipangishe" Mr Sungura anaomba zennu hifadhi katika Game hii ya Bongo Flava. Jembe ameongea na BC Crew na kujimwaga mazima kuhusu ujio wake. So kaa tayari kumpokea Sungura!
11:17 PM
No comments
Mr. Vinapanda bei sasa anasema JIPANGE!
Kaa tayari kwa ujio mpya wa Blad Key (Mr. Vinapanda bei) katika nyimbo yake mpya ijulikanayo kama "Jipange!". Jembe linasisitiza kitu muhimu sote tujipange sasa na siyo tulie au kulalamika kutokana na vitu kupanda bei.
Tuesday, January 31, 2012
Blad Key ndani ya bongo Corner!!
Yap niyeye! niyeye! niyeye!!!! mzee wa vimepanda bei au waweza kumwita Mr. Vimepanda bei! Jamaaa atajimwaga katika kurasa za Bongo Corner na kutueleza kila kitu kinacho muhusu yeye. Yaaaani kwa sasa anafanya nini na tujiandae na nini mbali na Vimepanda bei na je ni kwanini vimepanda bei na mengine mengi yatamwagika kutoka hapa yaaani ni Kideo mixer mixer maelezo na picha pale kati. Hii ni kwa wale wote wajanja wa mjini Karibuuuuu!
Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu!
Tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu!
Saturday, January 28, 2012
3:14 AM
No comments
Barnaba 2012 ndani ya Gubegube
Kaa tayari kwa uzinduzi wa single ya barnaba ijulikanayo kwa jina la Gubegube! Jombaa ndiyo anadondoka kiivi ndani ya 2012. So wadau wote wa barnaba na wamuziki wa Bongo Flava Tukampe shangwe brooooo kiroho safiii!
Thursday, January 12, 2012
9:00 AM
No comments
Ujio wa Vitus katika Game
Yeye anasema jina la yake nyimbo hajui hatupie lipi. Huyu ni msanii ajulikanae kwa jina la Vitus, jembe hili nalidondosha kwenu wadau mtoe yenu mawazo. Mwana yupo katika maandalizi ya kukamua kitu chake kipya ndani ya kideo, je kideo kitakuwaje pale kati? Kazi ni kwakooooooooooo kuwa karibu na yako site upate mengi yanayohusu ujio wa hili jembe.
Friday, December 30, 2011
8:26 AM
No comments
Man City Chali
Darron Gibson second half strike for Everton gave the home side a deserved 1-0 win over league leader Manchester City which drops points in poor performance leaving it tied with Manchester United at the top of the EPL.
It was a fairly quiet first half at Goodison Park with just a few chances between the teams.
The first and probably best chance of the half fell to Everton just five minutes in as Denis Stracqualursi's head found Royston Drenthes’ corner at the back post. The ball beat Joe Hart but it was cleared off the line by Joleon Lescott.
It took around half an hour before the sides created more chances. A deep ball in from Leighton Baines found Stracqualursi who headed down for Fellaini, who fired his shot just wide.
And then just two minutes later in the 37th minute Manchester City had its first real chance of the match as Samir Nasri fired a shot from around 25 yards out, beating Tim Howard but hitting the bar before Aguero's shot from the rebound was well saved from Everton's keeper.
But the talking point of the first half came five minutes from halftime when the match was briefly delayed following a disturbance on the pitch, in which a supporter emerged from the stands and handcuffed himself to the post next to City keeper Joe Hart.
The fan spent five minutes attached to the post before being removed by police before the game restarted.
It was a quiet start to the second half until the game hit the hour mark and Everton took the lead. The Toffees broke and Drenthe crossed in deep to find Donovan, who controlled it and played it to the edge of the box, where new signing Darron Gibson drove a shot at goal and with a slight deflection, the shot went past Hart to give the home side the lead.
Everton continued to press, as Stracqualursi took the ball down the left hand side putting in a cross which was headed away but met by the volley of Darron Gibson who put the shot just wide of Joe Hart's post.
There was controversy on 72 minutes as City had a penalty shout when Kolarov claimed for handball as his cross looked like it may have hit the hand of Phil Neville in Everton's penalty area.
Manchester City continued to push for equalizer but just couldn’t find a way past the solid home side, which hung on for a deserved three points at Goodison Park.
Thursday, December 22, 2011
5:05 AM
No comments
Chicharito and Berbatov both score penalties as hosts close in on City at top of Premier League
United boss Sir Alex Ferguson had something of a goalkeeping crisis before kick off with both David De Gea and Anders Lindegaard ruled out. Ben Amos was called in to make his Premier League debut for the club. There were five other changes to the side that beat Arsenal in its last league match with Park, Rio Ferdinand, Paul Scholes, Dimitar Berbatov and Javier Hernandez all named in the starting lineup.
Tony Pulis also made a handful of changes from his club's last league outing with Andy Wilkinson, Jermaine Pennant, Kenwyne Jones, Dean Whitehead and Wilson Palacios all coming in to the side. Jonathan Woodgate, Glen Whelan, Rory Delap and Matthew Etherington dropped to the bench while Ryan Shotton was not involved at all.
It took both teams a while to get going on a cold evening in Manchester, as the sides had wayward efforts in the opening quarter of the game. But it wasn’t until the 20th minute that a shot caused worry to either goalkeeper.
With United almost camped on the edge of the Stoke penalty area the pressure earned it a corner. It was taken short and as the cross was cleared the loose ball fell to Johnny Evans, who back flicked the ball to Scholes on the edge of the area. The midfielder set himself and fired in a low volley that seemed destined for the bottom corner but a slight deflection of a crowd of Stoke defenders took the ball inches wide of the post.
The home side continued to dominate possession but without really causing Thomas Sorensen any concern at all. Just after the half hour, United’s other central midfielder Michael Carrick had the goal in his sights but like Scholes before him he fired wide of the post. Carrick, Park and Berbatov combined neatly to release the midfielder inside the penalty area but his low shot across Sorensen was just beyond the far post.
There were only eight minutes of the half remaining when the game finally got the goal it had needed and it went to the home side from the penalty spot. Berbatov and Scholes combined to release Park in the penalty area and the South Korean was brought down by a sliding tackle from Jermaine Pennant. Hernandez grabbed the ball and calmly fired past Sorensen to put his side ahead.
With the second half beginning as the first had ended United continued to control the game and eight minutes into the half it was awarded its second penalty of the game and this time it was Berbatov who made no mistake. Jon Walters and Antonio Valencia tangled in the penalty area and when the Ecuadorian fell to the floor referee Mike Jones pointed to the spot. Berbatov calmly stepped up and fired it past the dive of Sorensen.
United continued to dominate but once again chances were few and far between. In fact, one of the best chances fell to Stoke and substitute Cameron Jerome just after the hour. The striker, who had replaced Crouch, jumped well above Johnny Evans but his effort was easily saved by Amos.
The home side cruised its way through the final half hour of the match but again it was unable to fashion many clear cut chances as Stoke remained defiant in defense. Scholes saw a late chance well blocked by Robert Huth and Patrice Evra felt he should have had another penalty but his claims were waved away by the referee.

Wednesday, November 30, 2011
5:16 AM
No comments
Vitus na ndoto za kung'ara katika muziki wa Afrika
Sunday, November 20, 2011
6:50 AM
No comments
Stereo msanii wa hiphop Tanzania anayekuja kwa kasi katika sanaa hii ya muziki. Pata kujua mwana anafanya nini kwa sasa na je anazungumziaje game ya mziki kwa ujumla. Haya yote utayapata hapahapa Bongo Corner kupitia Page yetu ya Interview. Kaa mkao wa kula mdau pamoja sana mpaka mwaka sifuriiiiiiiiiiiiii. By n2c group
Tuesday, September 20, 2011
Ujio Mpya Mdau!
Kaa mkao wa kula mda huu kwani n2c group inakujia na mengi mda huu. Kupitia site hii maojiano na wasanii wakubwa na wanaochipukia katika fani ya muziki wa Bongo Flavour na hip hop Tanzania yatakuwa yanapatikana hapahapa Bongo corner.
Kuwa wakwanza kujua wasanii hawa wanafanya nini na wapo wapi kwa sasa.
Kuwa wakwanza kujua wasanii hawa wanafanya nini na wapo wapi kwa sasa.

.jpg)