Sunday, June 10, 2012

BOB MAKANI AFARIKI DUNIA

Mwasisi wa Chadema na mwanasheria mkuu wa Tanzania Bob Makani afariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital ya Agha khani jijini Dar es salaam.
Akizungumza na vombo vya habari mweshimiwa Zitto Kabwe alizungumza yafuatayo, "Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, Makani alizidiwa ghafla saa 3: 00 usiku wa kuamkia leo na kukimbizwa katika Hospitali ya Aga Khan ambako alifariki dunia saa 4.15 usiku."

0 comments: