Thursday, June 14, 2012

SERIKALI YALIVALIA NJUGA SWALA LA HATI MILIKI KWA WASANII TANZANIA

Akitoa hoja ya serikali kupitia bunge la nane, waziri wa fedha Dk. William Mgimwa, aeleza
adhma ya serikali kutilia mkazo katika swala la hati miliki kwa wasanii Tanzania. Dk. Mgimwa asema serikali sasa imedhamiria kuona wasanii wanapata wanachostahiki kutokana na kazi zao. Kazi kwenu wanasanaa Tanzania.
BC Crew

0 comments: