Monday, June 18, 2012

MNYIKA ATOLEWA BUNGENI LEO

Akisoma sheria na kanuni za bunge naibu spika John Ndugai alimuamuru mbunge wa Chadema John Mnyika kutoka nje ya bunge. Hii ilikuwa ni kutokana na mhe Mnyika kumwita raisi kuwa ni dhaifu na kukataa kufuta kauli yake. Naibu spika alimuamuru atoke nje mara moja mpaka kikao cha kesho saa tatu asubuhi. Hali hii ilipelekea wabunge wa upinzani kutokubaliana nalo.
"NAKUPENDA TANZANIA!"

0 comments: