Friday, October 12, 2012

BASATA KUMFUNGIA DIAMOND!!

Balaza la sanaa Tanzania (BASATA) huenda likamfungia msani Diamond kufanya mziki. Hii ni kutokana na kitendo alichokifanya msanii huyo, kwa kujimwaga jukwaani akiwa na kiboksa yeye na wacheza shoo wake.
Basata wamekaliliwa na vyombo vya habari mbalimbali wakisema waliamini kuwa kwa adhabu walizokwishazitoa kwa Aunt Ezekiel na Wema Sepetu zilitosha kuwa fundisho kwa wengine kutoiga.
Hivyo swala hili bado lipo chini yao Basata nini kitajili wanajua wao! Endelea kuwa nasi kwa habari zaidi!

BC Crew

0 comments: