Thursday, October 4, 2012

KIMBUNGA CHAEZUA MAPAA YA MAJENGO CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) MKOANI SINGIDA

Kimbunga kikubwa cha sababisha madhara makubwa mkoani Singida, katika chuo cha uhasibu. Majengo yameezuliwa, na wanafunzi wengne walikuwamo darasani wamejeruhiwa kwa kukatwa na mabati yaliyokuwa yanapeperuka.
Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde majeruhi hao wamepelekwa hospitali.

BC Crew

0 comments: