Friday, January 4, 2013

MHESHIMIWA RAISI PIA ALIKUWEPO KATIKA MAZISHI

Katika kuonesha yu pamoja na wasanii wa nyumbani Tanzania, raisi wa jamuhuli ya muungano ya Tanzania mheshimiwa Kikwete alikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria mazishi ya Sajuki. Katika makaburi ya Kisutu Raisi Kikwete alionesha uwepo wake kwa kuweka mchanga kaburini kama ishara ya kumuaga mpendwa Sajuki, "Juma Kilowoko".
Raisi Jakaya alikuwa ni msaada mkubwa katika matibabu ya marehemu Sajuki aliyokuwa akiyapokea pale katika hospitali ya taifa Muhimbili mpaka umahuti ulipo mfika.
 "Mungu ailaze roho ya ndugu yetu Sajuki mahala pema peponi Amen!"

0 comments: