Saturday, January 19, 2013

NYIMBO MPYA KWA WAPENDANAO!


"NITAKE NINI TENA" ni nyimbo mpya ya VITUS.Ni nyimbo nzuri inayosifia raha ya mapenzi na kupendwa.siku chache zijazo tutasherehekea siku ya wapendanao(Valentine day) so hapa waweza kudownload na kuuskia wimbo huu mzuri kisha ukaongeza maneno ya kusifia mapenzi yenu.kwani mapenzi yenye amani ndio kila kitu katika mahusiano.Enjoy

0 comments: