Saturday, January 19, 2013

                                                 NI MTAZAMO TU!!
     Zisikilize hisia zako zinataka nini,kama ni kitu chema zitendee haki hisia zako ili uwe na amani moyoni.Kwani hisia zako ni kama malaika wako anaye kuongoza.Isitoshe lawama sio mzigo kwa hali ilivyo sasa,sababu kila mtu anatafuta amani moyoni.by Vitus

0 comments: