Wednesday, January 2, 2013

SAJUKI AFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo Movie afahamikaye kama Sajuki 'Juma Kilowoko' leo asubuhi amepatwa na umauti katika hospital ya taifa Muhimbili.
"Sajuki amepatwa na umauti kutokana na tatizo la upungufu wa damu ambalo lilikuwa linamsumbua muda mrefu na Muhimbili ndiko alikokuwa anapata matibabu yake"

JPM

0 comments: