Saturday, December 22, 2012

LEMA HAITIKISA ARUSHA

Mbunge wa Arusha mjini mh. Lema akikusanya fedha kwaajili ya ununuzi wa gari la chama aina ya fuso. Mhesimiwa mbunge alifanya mkutano na wananchi wa Arusha mjini baada ya kushinda kesi iliyokuwa inamkabiri.
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, mh. Lema amesisitiza kupigana na mafisadi mpaka kieleweke. Mkutano huo ambao ulifanyika katika kiwanja cha Kilombero, mh. Mbunge ametoa mikakati yake baada ya kurudi kazini rasmi kama mbunge wa Arusha mjini.

BC Crew

0 comments: