Saturday, December 1, 2012

WATU WLIOIBA VITU VYA MAREHEMU SHARO MILIONEA WAVISALIMISHA

Watu waliofanya kitendo cha aibu cha kuiba baadhi ya mali za Sharo milionea aliyefariki dunia kwa ajali ya gari huko Muheza, wamevisalimisha kwa mkuu wa kijiji. Tukio la usalimishaji wa mali hizo umetokana na kauli kali toka kwa mkuu wa wilaya ya Muheza bibi Subira Mgalu, kutangaza kusakwa kwa watu hao na endapo watapatikana watafunguliwa mashitaka.

0 comments: