Friday, December 21, 2012

NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

Yapo mengi sana wewe kama mdau wa Bongo Corner umeyafanya ndani ya mwaka huu unaoelekea ukingoni na sasa ni mda wa kufunga mahesabu. Je mwaka wako ulikuwaje? Hebu tushirikisheee kama hautajali.

BC Crew

0 comments: